Ripoti wawekezaji viwanda vya dawa kupelekwa kwa mawaziri

Wakati ripoti ya wawekezaji wenye nia ya kuanzisha viwanda vya dawa nchini ikitarajiwa kufikishwa katika Baraza la Mawaziri wiki hi...

MTANZANIA ALIYEMUUA MKEWE APANDISHWA KIZIMBANI UINGEREZA

          Mtanzania Kema Salum amepandishwa kwa mara ya kwanza kizimbani katika Mahakama ya Crown kwa tuhuma za kumuua mke wake...

Taratibu za kuurejesha mwili wa aliyeuawa London zaendelea

  Juhudi za kuchangisha fedha kwa ajili ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania aliyeuawa Uingereza, Leyla Mtumwa zinaendelea nchini humo....

Miguna Miguna arejea Kenya na makeke yake

Mwanasheria machachari na aliyejitangaza kuwa jenerali wa Vuguvugu la Taifa Kuipinga Serikali (NRM), Miguna Miguna amerejea nchini a...

Lissu: Tumeshinda, tumeshashinda

“Tumeshinda. Tumeshashinda.” Hayo ni maneno aliyoyatamka Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu akimweleza Mbunge wa ...

Trump asisitiza hachunguzwi na FBI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hachunguzwi  na mtu yeyote wala shirika la ujasusi la FBI halimchunguzi. Hiyo ni baada ya kumfut...

Chris Brown atibua penzi la Benzema na Rihanna

Mwanamuziki Rihanna alivunja mahusiano yake na mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema kwa sababu ya mapenzi yake kwa Ch...

What happened today in France's presidential election

French presidential election candidate for the far-right Front National party Marine Le Pen (C) acknowledges applause after she delivere...

High price of Florida visits irk Trump resort's neighbors

US President Donald Trump's Mar-a-Lago estate in Palm Beach is seen from West Palm Beach, Florida, US, as Trump prepared to return...

Nape aunda tume kuchunguza uvamizi wa Makonda Clouds

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye ameunda kamati ya kuchunguza kuhusu tukio lililofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Da...

Sonko,Wanjiru na Waweru wawasilisha stakabadhi za kuwania ugavana

Chama cha Jubilee nchini kenya kimekamilisha zoezi la kupokea vijikaratasi vya mchujo kutoka kwa wawaniaji wa nyadhifa...

Jaribio la trump lagonga mwamba

Mahakama ya Jimbo la Hawaii, imezuia utekelezaji wa marufuku mpya wa usafiri iliyokuwa imetangazwa na Rais, Donald Trump. Marufuku hiyo ili...

Marufuku ya ijabu yazua utata ujerumani

 Waislamu  barani Ulaya wamelaani vikali hatua ya Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya kutoa hukumu kuwa waajiri wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa...

UN team in Tanzania outline achievements

  The United Nations in Tanzania has achieve 97 per cent of its outcomes and targets in its first business plan, the UN Resident Coordina...

Je yawezekana wanaume wenye wake kuwa mapadre

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa huenda wakabadili sheria kuwaruhusu wanaume waliooa kuwa mapdri wa kanisa hi...

Waziri mkuu wa ujerumani jibu tuhuma zinazomkabili

Angela Markel, amesema tuhuma zilizotolewa dhidi yake na Rais wa Uturuki, Recep Erdogan, kuhusu kuwaunga mkono magaidi hazina msingi wowote....

Ya donald trump haya hapa.

Moshi mzito unafuka katika Ikulu ya White House nchini Marekani, lakini hakuna moto. Hali ilivyo haimpi utulivu Rais Donald Trump na njia p...

Je,neymar atampiku pele

Beki wa zamani wa Brazil, Cafu anaamini Neymar ataivunja rekodi ya Pele ya kufunga mabao mengo katika timu ya taifa. Mshambuliaji huyo wa B...

Conte amlaumu mourinho.

Kocha wa Chelsea, Antonio Conte amemponda kikosi cha Jose Mourinho kutokana na kumkamia Eden Hazard mwanzo hadi mwisho wa mchezo wa robo fa...

Kabunda mchezaji bora mwezi wa pili

Kiungo wa Mwadui FC, Hassan Kabunda amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa Februari. Kabunda aliwashinda washambuliaji w...

index
Kicbjamii