WC2018: Kocha England aanza mbwembwe

 Katika kile kinachoonekana kama kuanza mbwembwe kutokana na ushindi katika mechi za makundi za Fainali za Kombe la Dunia, Kocha wa...

Real Madrid yapondwa kila kona Ulaya

Licha ya kupenya katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Frank Lampard amesema Real Madrid haina ubavu wa kuifunga Liverpool. ...

rekodi mabao inavyoitesa Yanga kimataifa

Wakati Yanga inaondoka leo kwenda Algeria kuvaana na USM Alger katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afri...

TANZANIA U20 0-0 DRC U20: HIGHLIGHTS .... TUJIKUMBUSHE

NGORONGORO HEROES KUWAFUATA DR CONGO,MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAJITOKEZA KUIDHAMINI

Want create site? Find  Free WordPress Themes  and plugins. Kikosi cha Wachezaji 21 na Viongozi 7 wa Timu ya Taifa ya Vijana c...

Mtihani mgumu kwa Yanga CAF huu hapa

Wakati droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikipangwa kuchezeshwa kesho jijini Cairo, Misri, timu 10 zinaonekana t...

Diamond alikoroga tena, picha za video chumbani hatarini kumpandisha kizimbani

Mwanamuziki Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameingia katika mgogoro mwingine na vyombo vya dola na safari hii huenda akakabiliwa ...

Diamond ahojiwa na polisi kwa kusambaza picha mbaya mitandaoni

 Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe, amesema msanii Diamond Platnumz alikamatwa jana kwa makosa ya kusambaza picha zilizokosa maadili ...

Roma yauza tiketi za mechi Liverpool kabla ya droo ya leo

  AS Roma imetoa kali ya mwaka baada ya kuchapisha tiketi ya nusu fainali Ligi Mabingwa kuwa watacheza na Liverpool kabla ya kupang...

Kocha wa tatu kutua mbao fc

Klabu ya Mbao imeongeza nguvu katika benchi la ufundi kwa kumchukua kocha Fulgence Novatus ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha timu hiy...

Rashford amtega Mourinho Man United

  Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford anaweza kuondoka Old Trafford ikiwa Jose Mourinho ataendelea kuwa kocha ...

Joti azungumzia afya ya Vengu

Baada ya kuwepo kwa kimya kirefu kuhusu hali ya msanii, Joseph Shamba maarufu Vengu, msanii mwenzake Lucas Muhavile ‘Joti’ amezungumzi...

De Bruyne: Mo Salah mchezaji bora England

Kevin de Bruyne amesema kuwa yeye ni namba moja, lakini Mohamed Salah wa Liverpool ndiye mchezaji bora wa Lig Kuu England msimu huu...

Basata yakanusha kufungulia nyimbo za Diamond

 Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema nyimbo mbili za Diamond, hazijafunguliwa kama inavyodhaniwa. Akizungumza na MCL Digi...

Pickford, kinda lililomng’oa mkongwe Hart England

Jordan Pickford anatarajiwa kuwa kipa namba moja wa timu ya Taifa ya England katika fainali za Kombe la Dunia. Fainali za Kombe...

Simba, Yanga kumaliza ubishi Apr 29

      Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema mechi ya watani ya jadi kati ya Simba na Yanga utachezwa Aprili 29, k...

index
Kicbjamii