Mbunge Mlinga ampa meno IGP
Mbunge wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro kutumia nguvu alizonazo kwa watu wanao...
Mbunge wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro kutumia nguvu alizonazo kwa watu wanao...
Rais John Magufuli amekataa ombi la Mfuko wa Pensheni wa PSPF kufuta viwanja viwili vinavyomilikiwa na ubalozi wa Zimbambwe na Wi...
Rais Joh Magufuli amewanyanyua Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Assad na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ...
Utawala wa Tundu Lissu ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unafikia kikomo saa 24 zijazo wakati wanachama wataka...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewatahadharisha wabunge wanaokusudia kupeleka hoja binafsi kuacha kutafuta umaarufu mitandaoni badala y...
Waamini wakatoliki wakiwa wamepanga mstari kubusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtak...
Hatimaye ndege aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiwa Canada kwa zaidi ya miezi minane inatarajiwa kutua katika ardhi ya T...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habinder Sethi, kwenda kutibiwa katika Hospitali y...
B unge la Afrika Mashariki (Eala) linakusudia kutumia majengo ya Bunge mjini Dodoma kufanya mkutano wake Aprili mwaka...
Alute Mughwai, kaka wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema ndugu yake atakaa kwa wiki mbili katika hospitali ya...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na Mkuu wa Mkoa wa D...
Rais John Magufuli kesho Machi 9, 2018 anatarajiwa kuzindua tawi la benki ya CRDB katika jengo jipya lililopo eneo la mlima...
Ni saa 11 alfajiri na tayari basi linalotoka Gongo la Mboto kuelekea Posta, limejaa abiria mpaka mlangoni. Munisi Elias ameshika lu...