maneno ya bashe na zito kuhusu kutenguliwa uwaziri muheshimiwa nape.

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli jana kutengua uteuzi wa Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Nape Nnauye…..mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe wametoa kauli kuhusiana na sakata hili
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika:
“Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu”

Bashe kupitia Instagram kaandika:You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.
Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It’s just beginning of a New journey.

Related

siasa 5384623409974501093

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii