Aliyekuwa RC wa Ruvuma afariki dunia leo
https://maisharaisi.blogspot.com/2017/05/aliyekuwa-rc-wa-ruvuma-afariki-dunia-leo.html
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu
Mdogo wa marehemu, Shaibu Mwambungu amesema kaka yake alifariki dunia jana asubuhi baada ya hali yake kubadilika ghafla akiwa hospitalini hapo.
Shaib amesema taratibu za mazishi zitatolewa baadaye ambapo kwa sasa anajiandaa kusafiri kutoka Songea kuja jijini Dar es salam kwa ajili ya mazishi.