Msanii wa rnb Rama Dee wakati akihojiwa kwenye kikaangoni eatv, ametoa ushauri kwa Lowassa juu ya uhusikaji wake kwenye siasa, "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye Nazi, kwa kawaida wazee wetu wakifika miaka 55 au 60 ni umri wa kupumzika"