Madiwani wapigwa ‘stop’ kuvaa jeans kwenye vikao
 
http://maisharaisi.blogspot.com/2017/02/madiwani-wapigwa-stop-kuvaa-jeans_28.html

Madiwani wa Ilala wakiwa katika vikao 
 Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani jana, Mhina alisema viongozi hao hawaruhusiwi kuvaa suruali hizo  na mavazi mengine ambayo hayana staha.
Mhina amewataka madiwani kuvaa majoho na kofia na kwamba ambao hawatafuata utaratibu huo watatolewa nje ya mkutano.
 Akichangia hoja, Diwani wa Maweni, Joseph Collivas (CCM) aliwataka wajumbe wa Baraza la Madiwani kutoa kero za wananchi ili zipatiwe  ufumbuzi.
