Hatimae lema dhamana yake imekubaliwa

  Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema, ameachiwa kwa dhama leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Lema ameachiwa kwa dhamana ikiwa ni takribani miezi minne tangu awekwe rumande kwa kesi ya uchochezi. Polisi wa kutuliza ghasia walijaa mahakamani hapo wakiwafukuza wafuasi wa Lema waliojaa katika viwanja vya mahakama hiyo. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe walikuwepo mahakamani hapo leo.

Related

kitaifa 2400738806273899399

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii