Kamatibkuu ya ccm yakutana dodoma

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza asubuhi hii mjini hapa. Kikao hicho kinachofanyika katika ukumbi maarufu wa White House, kimefunguliwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais John Magufuli. Kikao hicho kinatarajia kupokea taarifa ya Kamati ya Ulinzi na Maadili ya CCM. Moja ya kati ya taarifa za kamati hiyo ni orodha ya wanachama wanaotuhumiwa kukisaliti chama hicho wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Baadaye mchana kitafanyika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM.

Related

siasa 2091519993911643023

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii