Psg wananafasi kubwa ya kumpata sanchez

Timu ya Paris St-Germain inaripotiwa kuongoza katika mbio za kumwania staa wa Arsenal, Alexis Sanchez, 28 ambaye anasemekana kuwa na mpango wa kuitema klabu hiyo wakati wa usajili wa majira haya ya joto. Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror, kwa sasa nyota huyo yupo katika mvutano na wachezaji wenzake Gunners pamoja na kocha wake, Arsene Wenger na hivyo kuna uwezekano mkubwa akaondoka.

Related

michezo na burudani 9044862703231106101

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii