Siku14 za wadaiwa sugu TANESCO.

Shirika la umeme Tanzania (Tanesco) limetoa siku 14 kwa wadaiwa sugu kuhakikisha wanalipa madeni yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo (Alhamisi), Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo, Tito Mwinuka amesema mpaka sasa wanadai billioni 275. Amesema notisi hiyo ni kwa wateja wote wakubwa na wadogo na kwamba wasipolipa watakatiwa umeme ikiwamo Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco).

Related

uchumi na biashara 2044263458158571618

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii