Ukata wamliza CAG


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad amesema hayo jana wakati wa ufunguzi wa baraza la wafanyakazi wa ofisi yake mjini hapa.
Amesema anashindwa kufanya kazi kwa kufikia kiwango cha kitaifa na kimataifa kama inavyotakiwa licha ya kuwa na watumishi wenye ari ya kufanya kazi kwa muda mwafaka.
“Kingine niseme kuwa, nashindwa kukaa ofisini kwa utulivu kutokana na madeni makubwa ya makandarasi ambao wanajenga majengo yetu, likiwamo la Rukwa, kweli nina shida kubwa,” amesema

Related

uchumi na biashara 4560359696753778728

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii