Makonda awaonya wanao ishi mabonden

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametembelea maeneo yaliyokumbwa na mafuriko kando ya Bonde la Mto Msimbazi na kuwapa tahadhari wakazi wanaoishi karibu na bonde hilo. Amesema mvua zinazoendelea kunyesha zitaleta madhara yanayotokana na uharibifu wa miundombinu. Makonda amesema Serikali inategemea kupata fedha kutoka Benki ya Dunia (WB) ili kudhibiti na kutengeneza Mto Msimbazi kupunguza madhara. Amewataka wananchi kuacha utamaduni wa kujenga kwenye kingo za maji.

Related

michezo na burudani 1744676356937388507

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii