yasikie maneno ya waziri mwigulu kuhusu nape nnauye kutolewa bastola

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameandika ujumbe katika mitandao ya kijamii kufuatia ishu ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye kutolewa bastola na mtu anayedaiwa kuwa ni askari kanzu.
Mwigulu ameandika ujumbe huo kulaani kitendo cha kutoa bastola hadharani

Related

kitaifa 2800091361130742420

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii