Rais awaagiza mawaziri kuwapa ajira wazawa ujenzi wa reli ya Pugu

http://maisharaisi.blogspot.com/2017/04/rais-awaagiza-mawaziri-kuwapa-ajira.html

Rais John Magufuli
Rais amezindua ujenzi wa reli hiyo leo, akisindikizwa na mawaziri, wabia na baadhi ya mashirika ya kimataifa yanayosaidia katika ujenzi huo.
Katika uzinduzi huo, Rais alisema Sh 300 bilioni zimetolewa kama malipo ya awali kwa mkandarasi kwa ajili ya kujenga reli hiyo kwa kiwango cha kimataifa.