Serengeti kuidhamini Taifa Stars






Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) linataraji kusaini mkataba na kampuni ya Serengeti Breweries(SBL) wa kuidhamini upya wa Taifa Stars leo jioni.
Serengeti inachukua kijiti kutoka kwa Tanzania Breweries (TBL) iliyomaliza mkataba wake na TFF mwishoni mwa mwaka jana.
Ingawa taarifa za awali zinadai kwamba mwenendo wa Stars katika miaka  ya hivi karibuni haukuwaridhisha TBL.

Related

michezo na burudani 269444847404711044

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii