Dahoud kutimikia Dortmund

https://maisharaisi.blogspot.com/2017/03/dahoud-kutimikia-dortmund.html
Kiungo wa Borussia Monchengladbach,
Mahmoud Dahoud inadaiwa kujiunga na Borussia Dortmund licha ya kufukuziwa na kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp kwa muda mrefu.
Dahoud, 21, ambaye ni mzaliwa wa Syria aliyekulia Ujerumani, anatajwa kuwa mmoja kati ya viungo bora wanaokuja juu katika soka la Ujerumani kwa sasa na anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.