Galatasaray yamtaka Nasri


 Galatasaray inaandaa dau la kumchukua kiungo wa Manchester City, Samir Nasri anayecheza kwa mkopo katika klabu ya Sevilla ya Hispania
Hata hivyo Waturuki hao watalazimika kupambana na Sevilla ambayo pia inataka kumbakiza jumla kiungo huyo.
Kiungo huyo wa zamani wa Arsenal, hana nafasi katika kikosi cha kocha, Pep Guardiola na hatarajiiwi kurudi klabuni hapo mwishoni mwa msimu huku Galatasaray ikitaka kutumia nafasi kumchukua kwa bei kiduchu ingawa mkataba wake unamalizika mwaka 2019

Related

michezo na burudani 4281895043760567802

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii