Diamond aitwa Polisi

http://maisharaisi.blogspot.com/2017/02/diamond-aitwa-polisi.html

MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasib Abdul 'Diamond'
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasib Abdul 'Diamond' almejikuta matata na kulazimika kuripoti polisi, kitu kilichowashtua mashabiki wake.
Diamond aliitwa na Polisi baada ya kuzagaa kwa video inayomuonyesha hajafunga mkanda wa gari alilokuwa alikiendesha, huku akiachia usukani na kunengua.
Msanii huyo amekiri kuingia matatani na kupewa onyo kali sambamba na kulimwa faini na kuachiwa, lakini akiwaachia ujumbe watu wengine kuwa makini na jambo la kufunga mkanda.
Msanii huyo amekiri kuingia matatani na kupewa onyo kali sambamba na kulimwa faini na kuachiwa, lakini akiwaachia ujumbe watu wengine kuwa makini na jambo la kufunga mkanda.