NAPE ALIVYOJITABIRIA KUVULIWA UWAZIRI WA HABARI


Mtu anapopatwa na jambo, ni kawaida ya binadamu kuangalia mambo au kauli zake alizokuwa akitoa kabla ya kufikwa na tukio hilo.Mara nyingi mambo au kauli hizo huonyesha kama vile alikuwa akiona tukio likimjia au kumtokea.
Unaporejea kauli za hivi karibuni za Nape Nnauye, unaona dhahiri kuwa alikuwa kama anaona kinachokuja na kujitabiria kuwa angevuliwa uwaziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo... Soma zaidi hapa http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3862666-le2…/index.html

Related

siasa 6646326301725181556

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii