Mungu ailaze mahalipema peponi roho ya mama kikwete

http://maisharaisi.blogspot.com/2017/03/rais-kikwete-ameandika-katika-ukurasa.html
Rais Kikwete ameandika katika ukurasa wake wa Twitter leo akiwashukuru watanzania wote kwa salamu za pole walizomtumia baada ya Mama mdogo wa Rais wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete, Nuru Shomvi kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Rais Kikwete ameandika katika ukurasa wake wa Twitter leo akiwashukuru watanzania wote kwa salamu za pole walizomtumia baada ya mama yake huyo kufariki dunia. “Ndugu wapendwa, nawashukuru sana kwa salamu za pole na upendo kufuatia kifo cha Mama yangu mdogo mpendwa Bi Nuru binti Halfani Shomvi. – JK” ameandika Rais Kikwete.Mazishi ya Nuru yatafanyika kesho saa saba mchana huko Bagamoyo, Pwani.