‘Padri’ Karugendo afunga ndoa

http://maisharaisi.blogspot.com/2017/04/padri-karugendo-afunga-ndoa.html

Privatus Karugendo akiwa na mkewe Rose Birusya baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam.
Ndoa hiyo ilifungwa jana katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini hapa katika misa iliyoongozwa na Padri Stefano Kaombe.
Mapadri wa Kanisa Katoliki hawaruhusiwi kuoa na wanapoachishwa husubiri kibali maalumu kutoka kwa kiongozi wa kanisa hilo duniani.