Sonko,Wanjiru na Waweru wawasilisha stakabadhi za kuwania ugavana




Sonko,Wanjiru na Waweru wawasilisha stakabadhi za kuwania ugavana

Chama cha Jubilee nchini kenya kimekamilisha zoezi la kupokea vijikaratasi vya mchujo kutoka kwa wawaniaji wa nyadhifa mbali mbali, ikiwa ni siku ya mwisho hapo jana ambapo kikosi cha Team Nairobi kikiongozwa na seneta Mike Sonko, askofu Margaret Wanjiru na mbunge wa Dagorreti kusini Dennis Waweru, wamewasilisha stakabadhi zao za kuwania kiti cha ugavana.
Wakati haya yakijiri chama cha ODM kimesitisha uchaguzi wa mchujo hadi tarehe saba mwezi Aprili huku IEBC ikitoa nafasi zaidi kwa vyama kuwasilisha orodha ya wanachama.

Related

kimataifa 5464212708686053036

Post a Comment

emo-but-icon

item
Kicbjamii